Ruka hadi yaliyomo
Amboni Sisal Properties
Songwe Satellite Town aerial panorama
Pongwe Satellite City aerial landscape
Tanga · Mbeya

Miji ya kesho, leo.

Viwanja vilivyopangwa kisheria kwa makazi, biashara na uwekezaji — katika miradi miwili mikakati: Pongwe Satellite City na Songwe Satellite Town.

Miji ya kesho, leo.Pongwe Satellite City · TangaSongwe Satellite Town · MbeyaHati MilikiCRDB · EQUITY · LETSHEGOMiji ya kesho, leo.Pongwe Satellite City · TangaSongwe Satellite Town · MbeyaHati MilikiCRDB · EQUITY · LETSHEGO
Kampuni ya Uendelezaji

Tunapanga miji yenye uhalali wa hati miliki,yenye mwelekeo wa maendeleo ya kiuchumi.

Amboni Sisal Properties

Kwa nini ununue kwetu

01

Maeneo ya kimkakati

Miradi yote ipo karibu na barabara kuu, bandari, viwanja vya ndege na maeneo maalum ya kiuchumi.

02

Imepimwa na kupangwa

Viwanja vyote vimesajiliwa chini ya mpango miji wa halmashauri kuu ya jiji.

03

Hati Miliki

Hakika ya kupata Hati Miliki baada ya malipo yote kukamilika.

04

Kuanzia TZS 4M

Bei ya wastani ya kiwanja cha makazi huanzia milioni nne na kuendelea.

05

Malipo rahisi

Pesa taslimu, awamu, makato ya mshahara au mkopo wa benki washirika (CRDB, EQUITY, LETSHEGO).

CRDBEQUITYLETSHEGO
Masterplan render
Masterplan render
Masterplan render
Mpango Miji

Mpango uliopangwa na halmashauri kuu ya jiji

Kila kiwanja kimepangwa kwenye gridi iliyoratibiwa kwa matumizi ya makazi, biashara na huduma za jamii.

Umbali kutoka miradi

Karibu na miundombinu ya kitaifa.

Kiwanda cha Saruji
3–6 kmKiwanda cha Saruji
Special Economic Zone
2 kmSpecial Economic Zone
Tanga mjini
15 kmTanga mjini
Kituo cha Mabasi Kange
5 kmKituo cha Mabasi Kange
Kituo cha Afya Pongwe–Malanzala
InsideKituo cha Afya Pongwe–Malanzala
Shule ya msingi Bwawani
InsideShule ya msingi Bwawani
Bei za viwanja

Kwa kila mita ya mraba. *Haijumuishi ada za hati.

MatumiziPongweSongwe
Makazi10,000/=11,500/=
Makazi/Biashara12,000/=15,000/=
Biashara35,000/=19,000/=
Namna ya kununua

Hatua tano rahisi.

  1. STEP 01

    Chagua kiwanja

    Tembelea ofisi zetu, piga simu au tembelea mradi.

    1
  2. STEP 02

    Chagua malipo

    Pesa taslimu, awamu, makato ya mshahara au mkopo wa benki.

    2
  3. STEP 03

    Jaza fomu

    Leta nakala ya NIDA na nyaraka muhimu za maombi.

    3
  4. STEP 04

    Anza malipo

    Fanya malipo kwa njia uliyochagua.

    4
  5. STEP 05

    Hati Miliki

    Utaratibu wa hati miliki utaanza baada ya malipo kukamilika.

    5

*Vigezo na masharti kuzingatiwa.