Viwanja
Kwa kila mita ya mraba. *Haijumuishi ada za hati.
Kwa kila mita ya mraba. *Haijumuishi ada za hati.
| Matumizi | Pongwe | Songwe |
|---|---|---|
| Makazi | 10,000/= | 11,500/= |
| Makazi/Biashara | 12,000/= | 15,000/= |
| Biashara | 35,000/= | 19,000/= |
Tanga · Pongwe
Pongwe Satellite City
Pongwe Satellite City ipo katika maeneo bora na ya kimkakati kwa shughuli za maendeleo, karibu na barabara kuu za Tanga na Korogwe.
ANGALIA VIWANJA →Mbeya · SongweSongwe Satellite Town
Songwe Satellite Town ipo karibu na kiwanja cha kimataifa cha Songwe, katika Jiji la Mbeya — eneo bora na la kimkakati kwa uchumi na maendeleo.
ANGALIA VIWANJA →