Ruka hadi yaliyomo
Amboni Sisal Properties
ASPL

Kuhusu Amboni Sisal Properties Ltd

ASPL ni mojawapo ya makampuni yaliyojikita na yanayoongoza katika uendelezaji wa ardhi na mipango miji katika nchi yetu ya Tanzania, kwa kufuatia taratibu za mipango miji. Miradi yetu ipo katika taratibu za mipango miji ya matumizi ya Makazi na kwa shughuli za kibiashara na maendeleo.

Miradi yetu inayoendelea kuuzwa kwa sasa ni pamoja na:

  • Songwe Satellite Town uliopo jijini Mbeya.
  • Pongwe Satellite City uliopo jijini Tanga, Pongwe.