Ruka hadi yaliyomo
Amboni Sisal Properties
ASPL · Malipo

Namna ya kulipia kiwanja

Unaweza kulipa kwa njia mojawapo kati ya hizi:

01

Pesa taslimu

Malipo kamili kwa wakati mmoja.

02

Awamu (50% kianzio)

Lipa nusu kianzio, malipo yaendelee kwa awamu.

03

Makato ya mshahara (taasisi binafsi)

Makubaliano ya Deduction at Source kwa waajiri binafsi.

04

Makato ya mshahara (serikali)

Deduction code kwa watumishi wa umma na taasisi zinazolipwa kupitia Hazina.

05

Mkopo wa benki

Benki washirika: CRDB, EQUITY na LETSHEGO.

Partner banks
CRDBEQUITYLETSHEGO